Ee kwema wadau?__ni yule yule kijicho kwenye sket a.k.a mzinzi mjanja asiyekamatika, kutoka Dodoma
Ndugu zangu me nauza duka kama miaka 6 sasa mafanikio nimepata mengi tu ila hii biashara inataka uwe mvumilivu na uwe na siri sana
(1) Uwe na maisha A na B yaani mchana uonekane mlokole sana_usiku kwa waganga zako mnaloga na kutoa mikosi na kutia dawa za mvuto kwenye duka
(2) Uwe unatunza siri za wateja wengne ni wake/waume za watu wanakuja kununuliwa/kununulia vitu na michepuko yao
(3) Uwe unawatongoza kiutani utani wateja wako wanawake ndo wanunuzi wakuu kwenye maduka na akili ya mwanamke usipomtongoza hutamuona mara kwa mara kwenye duka lako ukimtongoza atakuja na mashoga zake kuja kukuchagia hilo lipo wazi so kujenga ukaribu na wanawake wa mtaani ndo siri ya kufanikiwa kwenye biashara ya duka (4) ogopa kukopesha wanaume % yao hawalipi deni kwa wakati (5) ukitaka mafanikio Tanzania lazima uwe na moyo mgumu kwa ndani ila nje uonekane kama kanyonge hiv ila kwa ndani bonge la nyemela.