Kuuza eneo ambalo bado halijapata certificate of offer

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Wadau habarini za jioni,

Ninataka kujua vitu vya kufanya kabla sijauza eneo langu ambalo bado sijapata hati ya kiwanja kutoka wizara ya ardhi, kwani kwa sasa zile documents (nafikiri ni letter of offer - hizi documents zinanichanganya kidogo na hapa nitahitaji shule kidogo), bado zipo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ambapo nafikiri zinasubiriwa kuchukuliwa na kupelekwa wizara ya ardhi (ambapo kabla hazijapelekwa kuna kodi fulani fulani hivi zinatakiwa zilipwe).

Naombeni ushauri katika hilo, na pia ni documents gani hasa zinazotumika katika kuprocess kupata hati ya kiwanja?

Asanteni.
 
kwa hiyo umeuziwa tu huna offer bado?Kama unayo na bado hati haijwa processed unaweza kuuza tu ila lazima mwende manispaa ya kinondoni mkabadilishe umiliki onana na afisa ardhi kinondoni na atakwambia jinsi ya kufanya.
 
Nadhani siku hizi mambo ya offer waliondoa, kuna voucher of payment.. I stand corrected..!!
 
Asaimenti hii ☺☺☺☺☺
 
Huwezi kuuza.
Land Restriction Act, Cap 334 Land Act, Cap 113 village Land Act, Cap 1143

Soma hizo zitakusaidia kwenye kutransfer haki yako kwenye hiyo Ardhi.
 
M nadhani its possible sheria zpo ndio wat matter u can only transfer wat u hv upon proof so w fanya mishe upate hyo offer then anza mchakato wa kuuza...note. Usishangae utakapo ambiwa siku hz hakuna offer so itabd ufuate utaratibu utakao elekezwa...
 
Offer imepitwa na Wakati.
 
I know dat hii ni tz wamesema tu bt till today zpo ila kwa baadh ya halimashaur tumeztengeneza sana akat tupo field mwaka jana... Wao wanadai hao waliomba kwa utratibu huo so ilikuwa zikamilishwe afu taratbu nyingine ztafuata dats y I said asiwe surprised kukuta utaratibu upo tofauti.
 
Mlichokuwa mnkifanya ni kinyume cha sheria, na sheria za Ardhi zina apply Tz nzima siyo By-Law hizo ndugu yangu.
 
Sheria mama (Land Act 1999) s.27 inatambua offer, amendment yake ya 2004 s.113(5) inatoa option kwa mtu ku mortgage kwa kutumia offer na ktk list ya vifungu vilivyo futwa na kufanyiwa marekebisho s.27 haipo....sasa kilicho kataza hzo offer n nn kama siyo by-laws (kanuni za uendeshaji Ardhi).?? Prove me wrong with the justification of laws..or any order/directive. I will catch u.
 
Mleta mada hajasema anataka kumogeji RO yake bali anataka kuuza. Sasa niambie wapi Sheria ina mpa mamlaka ya kufanya disposition (kuuza) ya ardhi kwa kutumia Offer.
 
Mleta mada hajasema anataka kumogeji RO yake bali anataka kuuza. Sasa niambie wapi Sheria ina mpa mamlaka ya kufanya disposition (kuuza) ya ardhi kwa kutumia Offer.

Tatzo lako your not objective, hyo offer wala RO yenyew hana, kwa hyo yupo documented tu kwamba alipata mgao wa eneo husika ndo maana nikamwambia (angalia juu) aende kwa wahusika watampa taratibu za kufuata...coz we hyo Right of occupancy umepata wapi kwenye hyo scenario??. "Apo nilikiwa nakujibu ulichosema kuwa zilizo kataza offer cyo by-laws".
 
Kasema bado hajapata Certificate ila ana Offer.
Naomba uniambie atauzaje hiyo adhi ilihali hajatimiza vigezo vya kuwa mmiliki halali wa hiyo Ardhi.
 
Nadhani siku hizi mambo ya offer waliondoa, kuna voucher of payment.. I stand corrected..!!

Letter of offer bado ipo mkuu, ukilipia kiwanja kwenye ofisi ya manispaa au jiji unapewa letter of offer ambayo baadae ndio itafuata hati ambayo inatolewa na msajiri wa ardhi
 
Mleta mada hajasema anataka kumogeji RO yake bali anataka kuuza. Sasa niambie wapi Sheria ina mpa mamlaka ya kufanya disposition (kuuza) ya ardhi kwa kutumia Offer.

Jamaa umeongea kitu cha msingi sana aisee, unajua wengi huwa wananunua viwanja ambavyo vinakuwa vina letter of offer na hujiridhisha kabisa ile letter of offer ndio hati yenyewe kwa kigezo tu kiwanja kimepimwa (of course wapo sawa hawawezi kunyang'anywa kiwanja kama wamejenga nyumba kwa kuwa kama kulipia ardhi wanalipia bila shida). Lakini linapokuja suala la kuuza lazima mtu awe na right of occupacy na hata kama utamuuzia mtu lazima kabla ya kununua ifanyike utaratibu wa kubadilisha umilki then ndio mtu wa pili anauziwa, maana yake hapa mwenye letter of offer anatakiwa afanye mchakato wa kupata right of occupancy kwanza ndipo ardhi auze. Na ndio maana wengi huporwa viwanja alafu wanalalamika lakini kama kiwanja kina hati aka right of occupancy ni ngumu kwa mtu kufanya uhuni wa kumpora mtu kienyeji lazima kuwe na mkono mrefu sana
 
Kasema bado hajapata Certificate ila ana Offer.
Naomba uniambie atauzaje hiyo adhi ilihali hajatimiza vigezo vya kuwa mmiliki halali wa hiyo Ardhi.

Amekwambia bado zko ofisini (document znazohusu hyo offer) na anadai hana uhakika kama zmesainiwa na mbaya zaidi bado kuna fees hajalipia au mm sion alicho andika hapo??...suala La kuuza apate kwanza uhakika wa hyo document akiwa nayo m naamin ataweza kuuza cdhan kama atazuiliwa ati kisa hana GRO coz bado kuna watu walipewa huko nyuma na wanazihold sasa ina maana na wao hawawez kuacess land market?? Wat kind of Economy is that??.
 
Letter of offer bado ipo mkuu, ukilipia kiwanja kwenye ofisi ya manispaa au jiji unapewa letter of offer ambayo baadae ndio itafuata hati ambayo inatolewa na msajiri wa ardhi

Wewe wacha kupotosha.. Hii kitu imekuwa repealed na sheria namba 17 ya 2008 S.5

Ndio maana hapo mwanzo nimesema mlikuwa mnaenda kinyume na matakwa ya Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…