Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Wadau habarini za jioni,
Ninataka kujua vitu vya kufanya kabla sijauza eneo langu ambalo bado sijapata hati ya kiwanja kutoka wizara ya ardhi, kwani kwa sasa zile documents (nafikiri ni letter of offer - hizi documents zinanichanganya kidogo na hapa nitahitaji shule kidogo), bado zipo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ambapo nafikiri zinasubiriwa kuchukuliwa na kupelekwa wizara ya ardhi (ambapo kabla hazijapelekwa kuna kodi fulani fulani hivi zinatakiwa zilipwe).
Naombeni ushauri katika hilo, na pia ni documents gani hasa zinazotumika katika kuprocess kupata hati ya kiwanja?
Asanteni.