Kuuza eneo ambalo bado halijapata certificate of offer


Of course I am layman ktk mambo ya sheria ila msisitizo wangu ulikuwa kuonyesha ukiwa na letter of offer jitahidi uwe na hati kabisa maana uswahilini watu wanapigwa kisa kiwanja hajakiendeleza alafu ukute hakijalipiwa kodi ya ardhi watu wanakipiga tofauti na chenye hati ambapo zoezi la kuifuta hati ni mlolongo mwingine tena
 

Nitasoma mkuu
 

Nitasoma mkuu
 

Asante, letter of offer ina nguvu sana. Nikipata letter of offer kabla yako na wewe ukapata baadaye lakini ukatangulia kupata right of occupancy tukaingi kwenye mgogoro wa double allocation, mimi wa kwanza kupata letter of offer nitakuwa na umuliki halali kuliko wewe mwenye certificate ya right of occupancy!
 

Ni kweli kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…