APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa nyingi tu,ninaposema pesa nyingi nina maana faida kibao,isiyo na presha ya mtaji kukata,mara bidhaa zitaoza n.k.
Ili upate faida inakupasa uifanye tofauti na wenzako wanavyoifanya huko mtaani,kabla ya kufungua hii biashara kwanza fanya mchunguzi wa kina kama mwenzi mmoja hivi zunguka kwenye hizo library uliza wanavyofanya{hapo kwenye kuuliza najuwa watakubania} usikate tamaa wewe uliza pengine, najuwa wengine watakuambia ukweli wengine watakudanganya na kukuvunja moyo usikate tamaa,chukua data kwa mwezi mmoja inatosha,sasa zipitie zote taratibu hapo ndo utajua pakuanzia kufanya revolution kama za MAMADY TOUMBOUYA.
MCHANGANUO WA MILLIONI MOJA NA NUSU{I500000} WA BIASHARA YA LIBRARY..
1.FREMU AU BANDA{LA CHUMA AU BATI}.
Tafuta fremu mahali penye mzunguko wa watu,{iwe bara barani au ndani uswahilini}
FREMU barabarani unaweza pata kwa {60000-80000} kwa mwenzi,
FREMU uswahilini unaweza pata kwa {40000-60000} zingatia hapa ela inaweza badilika kutofautiana na mahali ulipo ila nimeandika kwa wakazi wa dar ila wa mkoani jaribu kufanya uchunguzi wa mahali ulipo wewe.
kama fremu itakuwa ghali sana unaweza jenga banda la CHUMA au la MBAO,MABATI.gharama la banda la chuma linaweza kukugharimu {800000 au zaidi ya hapo.
banda la mbao au mabati unaweza jenga kwa 350000 au zaidi ya hapo.
VIFAA VYA LIBRARY.
1.COMPUTER
Hapa kwenye computer ndo mahali pakuzingatia sana ili upate kifaa kinzuri na chenye uwezo mnzuri wa kufanya kazi fasta,tafuta computer yenye best intel processor:core i3,i5,i7 na i9.processor ikiwa nzuri itakuhakikishia kazi ya kucorvet,kutransfer file,kudownload music na movies ifanyike faster
computer yenye specifications nzuri unaweza pata kwa [350000-450000}.
2.SUBWOOFER NZURI {50000 nazaidi ya hapo}.
3.NUNUA INTERNAL HARD DRIVE 4 tb {200000},kwa ajili ya movies tu,NUNUA EXTERNAL HARD DRIVER 1tb {80000-150000} kwa ajili ya music tu.
4.TOA LAKI 3{300000} Kanunue movie zinazotrend sokoni kwa wakati huo,hapa ndo pakuzingatia sana kama unakumbuka mwanzoni nilikuambia ufanye uchunguzi wa kuzunguka kwenye hizo library kwa mwezi mmoja ili kukagua cd zinazotambaa,na cd zinazofanana kila library uliyokwenda lengo lilikuwa ni kukariri cd zinazopendwa kuwe kwa library maana kwamba zinawateja wengi.
5.toa {150000}kanunue viti vya wateja,cha kwako cha kukalia ofisini,meza ya desktop,toa {50000]TENGENEZA shelfu za kuwekea cd ulizonunua.kama hii hapa itaendelea