Arusha pia toka 2020 wengi hawatumii cd, na asilimia kubwa wanatumia Flat tv, Kuna jamaa anaitwa Bob Geor, Ni mfano wa watu wanaofanya hizo biashara naona yeye hakuichukulia kwa urahisi, Ukiingia kwenye studio yake unaweza sema ni office ya Customer care ya Startime[emoji23]
Jamaa wabaifanya hii biashara kisasa,