rsmussa
New Member
- Aug 26, 2014
- 3
- 0
Mimi nilinunua simu ya mkononi dukani nilitumia kwa miaka kadhaa. Baadae nilipatwa na shida na kumuuzia mtu mwingine je ninahaki ya kufanya hivyo. Kwa kumuuzia Mali yangu halali iliyotokana na jasho langu halali nitakuwa na kosa? Pia kiwanja, Nyumba, Gari, nk nikiuza nitakuwa na kosa? Ningependa kujua pia baada ya kuuza nikatoa taarifa polisi kuwa nimeibiwa na ninayemtilia mashaka ni yule niliye muuzia baadae ikajulikana nilimuuzia nitakuwa na makosa? Lakini nilimwandikia hati ya mauzo huku ikiwa na saini yangu.