Kuuza vitu vya ndani kukidhi gharama za maisha

Kuuza vitu vya ndani kukidhi gharama za maisha

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Katabia haka kakikushika unaweza kujikuta ndani umebaki na mkeka tu kinachoumiza zaidi ni kuuza vitu kwa bei ya hasara. Yote hii ni kukosa chanzo cha uhakika cha pesa.

Mbaya zaidi haka katabia akiwa nako kiongozi wa juu basi ujue Taifa litakuwa na hali mbaya ndio hapo utasikia ubinafsishwaji wa mali za umma unachukua nafasi.
 
Katabia haka kakikushika unaweza kujikuta ndani umebaki na mkeka tu kinachoumiza zaidi ni kuuza vitu kwa bei ya hasara. Yote hii ni kukosa chanzo cha uhakika cha pesa.

Mbaya zaidi haka katabia akiwa nako kiongozi wa juu basi ujue Taifa litakuwa na hali mbaya ndio hapo utasikia ubinafsishwaji wa mali za umma unachukua nafasi
so tuuze nini
 
Back
Top Bottom