Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo raha ya dera babu.....likitosha sio dera tena kanzu hiyo.
Hiyo huwa inaharibu sana akili yangu,,,Bora anayenyanyua kwa mbele kuliko anayechomekea ndani ya chupi asee
Duhhhh,,,, dela lazima liwe kama mfuko wa kutolea unga mashineni wakati wa kusaga nafaka.Na hiyo ndo raha yake
Raha ya dera shuťiii unyanyue kidogo mbele
Tukate ili liwe gauni?
EeeeehDuhhhh,,,, dela lazima liwe kama mfuko wa kutolea unga mashineni wakati wa kusaga nafaka.