Kuvaa Dera sio kazi, kazi kulishikilia

Kuvaa Dera sio kazi, kazi kulishikilia

Hakuna hata picha
IMG-20171212-WA0010.jpg
 
Wanawake msio na chura acheni kuvaa madera yanageuka ma joho..

Raha ya dela lipate mwanamke mwenye minyama shekh tepwetepwe basi nikimwona karoho kanasuzika mororo
 
Habari zenu wadau wa JF.!

Kuna hii tabia imezuka mda sana kwa dada zetu hawa. Hii tabia inakera sana aisee ni nn kuvaa hayo madela kisha kuyashika na kuyanyenyua juu mpaka ngozi nyeupe inaonekana? Mnatupa tabu kwel sisi wanaume, alafu kuna ile staili ya kulibana kwenye nguo ya ndani ni nn hasa mnatafuta.

Hii tabu yote mnayo pata kwann msiyakate ili yasiwape tabu namna hiyo. Karibu
Picha tafadhali
 
usiombe mvua ikanyesha huku uswahilini! linanyanyuliwa hadi kifuani!

Kweli Wanaume Tumeumbwa Matesooo!
 
Back
Top Bottom