Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hakuna hata picha
Lahaulaaaaa huyu atakuwa na kitengo serikalini.
Picha tafadhaliHabari zenu wadau wa JF.!
Kuna hii tabia imezuka mda sana kwa dada zetu hawa. Hii tabia inakera sana aisee ni nn kuvaa hayo madela kisha kuyashika na kuyanyenyua juu mpaka ngozi nyeupe inaonekana? Mnatupa tabu kwel sisi wanaume, alafu kuna ile staili ya kulibana kwenye nguo ya ndani ni nn hasa mnatafuta.
Hii tabu yote mnayo pata kwann msiyakate ili yasiwape tabu namna hiyo. Karibu
....Duh umetisha mkuu, kitu kimetulia...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaume nao wataanza kunyenyua Kanzu zao na kuchomekea kwenye Boxer.
Ebu tuondolee hawa mkuu weka wanawake waliovaa madela hawa wamevaa kanzu. Labda anayefua tu.
Unawashwa ndio maana unafananisha mambo Kanzu na dira vinauhusiano gani nenda Anglikana ndio wanaruhusu huko unakoelekea ni haramuWanaume nao wataanza kunyenyua Kanzu zao na kuchomekea kwenye Boxer.
Ulikuwa umekimbilia wapi ndugu?Hiyo huwa inaharibu sana akili yangu,,,