Kuvaa kitu kipya kikiwa na label yake ni ushamba au fashion??

Kuvaa kitu kipya kikiwa na label yake ni ushamba au fashion??

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Wadau nisaidieni hili
Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake

Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu
IMG_20250807_215743_027.jpg
 

Attachments

  • 1755353897669.jpg
    1755353897669.jpg
    211.1 KB · Views: 44
Oky kwa mimi naona mshangazi mnene ni bora kuliko mwembamba hii ni kwa sababu..

Mshangzi mnene an mda wa kupeleka motro aisee wanakuwaga chap kufika

Ila hawa wembamba aiseee inabdi ukaze kweli kweli hii imenikuta juzi hapo
 
Wadau nisaidieni hili
Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake

Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu View attachment 3443789

Kuna watu huvaa hivyo kwa ajili ya Biashara ILA wasiojua wanafikiri ni fasheni
Namaanisha hata Ulaya, hawa macelebrate wakienda kuperfom kwenye matamasha makubwa hupewa nguo na Viatu, bila kusahau cheni za dhahabu nk nk kutoka kwa madealer wakubwa ili wavitangaze; ila moja ya masharti nikuto kutoa lebo kwani baada ya tamasha hurudishwa dukani
Na mara nyingi baada ya Tamasha hutangaza pale kuwa amevalishwa na..........
 
Ushamba ni kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida tu,

So,imawezekana kua wewe ndio mshamba,

Ila wahusika watakuja kutoa majibu mujarabu.
 
Oky kwa mimi naona mshangazi mnene ni bora kuliko mwembamba hii ni kwa sababu..

Mshangzi mnene an mda wa kupeleka motro aisee wanakuwaga chap kufika

Ila hawa wembamba aiseee inabdi ukaze kweli kweli hii imenikuta juzi hapo
Huyu mwembamba alikidhi vigezo vipi mpaka kuwa mshangazi?
 
Kiatu ni chako hivyo kitumie unavyoona inakufaa na kukupa furaha
 
Sikumbuki hata mtu mmoja aliyevaa viatu na lebel au aliyetoa ,viatu vyangu najua rangi yake napovaa
 
Back
Top Bottom