Kuvaa msaraba wakati wa Tendo

Kuvaa msaraba wakati wa Tendo

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Kuna dem1 mara nyingi huwa tunakutana, wakati
naanza kumchakachua huwa namuomba avue msaraba,lakini yeye hukataa katakata,mimi nakuwa sina jinsi naendelea na uchakachuaji huku nikiukodolea msaraba kwa hofu,Swali
Kwa wana JF
hivi hakuna ubaya kuvaa msaraba wakati wa uchakachuaji???
 
msalaba wa nini?kuna misalaba ya kishetani,ya kidini,ya urembo nk.....sasa inategemea yeye anauchukuliaje na anaheshimu kiasi gani huo msalaba??
 
hahaha!boflo kwanini huwa unauangalia kwa hofu,,,lol!vile unavunja amri ya 6?kuvaa na kutovaa yote sawa
 
Kuna dem1 mara nyingi huwa tunakutana, wakati
naanza kumchakachua huwa namuomba avue msaraba,lakini yeye hukataa katakata,mimi nakuwa sina jinsi naendelea na uchakachuaji huku nikiukodolea msaraba kwa hofu,Swali
Kwa wana JF
hivi hakuna ubaya kuvaa msaraba wakati wa uchakachuaji???
Hakuna ubaya.
Kama ni hivyo basi ungeacha kuchakachua kabisa
 
Boflo bana....msaraba ndo nini.....
 
hahahahaaa... Nimecheka unaposema unaukodolea macho kwa hofu. Huyo dada lazma atakuwa Mchaga.
 
Mie sijajua unachoogopa ni nini mbona mie navaa 24/7. Mie navaa rozari yenye msalaba si msalaba peke yake
 
Any man who can drive safely while kissing a pretty girl is simply not giving the kiss the attention it deserves.
 
Kuna dem1 mara nyingi huwa tunakutana, wakati
naanza kumchakachua huwa namuomba avue msaraba,lakini yeye hukataa katakata,mimi nakuwa sina jinsi naendelea na uchakachuaji huku nikiukodolea msaraba kwa hofu,Swali
Kwa wana JF
hivi hakuna ubaya kuvaa msaraba wakati wa uchakachuaji???
ulimchakachua Au mkichakachuana?. Msalaba ni sawa na cheni tu hamna lolote.
 
ukimchunguza sana ngurue hutakula nyama yake, ulichotaka unakipata ukitaka kujua vingine utakimbiia mpaka kisigino kiguse kisogo.....
 
aisee babanguu umejuaje ?

Hawa wenzetu wa mgombani ukifanya romans ukamgusa nyonyo analalamika ...unafanya nini huko aisee. si umeicha huko chini...
 
Ulkiwa unatenda uovu lazima dhamira itakusuta tuu, unaogopa misalaba ya urembo ha ha haaa :laugh:
 
Back
Top Bottom