Kuvaa nguo ya mabega wazi huwa ina lengo gani?

Kuvaa nguo ya mabega wazi huwa ina lengo gani?

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za wikiendi?

Naomba kuuliza wadada/wanawake wote hasa wa Tz imezuka tabia mbaya sana ya kuacha mabega wazi kwa magauni/blauzi zao?

Lengo ni kitu gani waonekane wana Chuchu saa 6 zisizotaka Brazia au wanakuwa wanapepo la umalaya au shida ni kitu gani?

Wengine bila aibu wanavaa hadi kwenye nyumba za ibada.

Badilikeni aisee mnajidhalilisha sana na kuonekana kituko.

IMG_20230826_181231.jpg
 
Fundi wa nguo zao angekuwa fundi maiko ..... tungekuwa na maelezo ya kutoshelezaa
 
Sema Mimi huwa nikimaliza kupiga nakuwa na majuto na sonona kwa zaidi ya masaa mawili
Ndio maana nasema nyetoh ni ubatili mtu ukipiga lazima ujione lofa , nyetoh ni undezi watu wengi inawakuta hali hiyo.Tafuta mke uenjoy.

Nakala moja kwa CHAPUTA MAKAO MAKUU nyingine kwa dronedrake .
 
Back
Top Bottom