Kuvaa nguo ya mabega wazi huwa ina lengo gani?

To sexualize everything in the name of fasion ndiyo plan.Na dhambi ya zinaa impate kila mwanaume timamu.
Ni hatari sana muovu alivyo na nguvu.
 
Halafu mgongo wenyewe haupati dodoki. Ila kuna wale wanaofunika mabega na migongo, sio kuwa wana heshima, bali wanaficha 'chale' walizochanja au chanjwa!!
 
Dada zetu Kila fashion wanaitaka bila kujali lengo la fashion husika, na bahati mbaya sana fashion za sasa zote zinahusisha kuacha maungo ya mwanamke wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…