Kuvaa nguo za mitumba ni laana

Kuvaa nguo za mitumba ni laana

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,595
Reaction score
4,775
Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.
 
Ila nilkweli habari ya kuvaa nguo za watu tena za ndani... Siyo jambo jema.. Ila hili halifai kuwa jambo linalosemwa katika nyumba za ibada. Inaonesha ni jinsi gani wahubiri wenu walivyokosa Maneno.
 
kama kuvaa nguo za mitumba ni laana itabidi nipime nina laana kwa kiwango gani

maana yakeeee aibu naona mimi kheee.....!!

hebu nisaidieni kipimo cha laana ni kipi na si unit yake....!!
 
Quality yake ndio yasababisha mtu anunue mtumba
 
Ni kiburi cha sadaka za waumini kinamsumbua huyo. Kama ni hivyo hata kuendesha gari used ni laana.
 
Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.

mchungaji Illovo ?? embu leta neno juu ya haya
 
Last edited by a moderator:
hawa wachungaji wa siku hizi shida tupu.kuna mwingine anashinda majukwaani anabishana na wanasiasa
 
Ila nilkweli habari ya kuvaa nguo za watu tena za ndani... Siyo jambo jema.. Ila hili halifai kuwa jambo linalosemwa katika nyumba za ibada. Inaonesha ni jinsi gani wahubiri wenu walivyokosa Maneno.

Ukitafakari sana, hasa kwa wale wa kiroho unaweza kuona kuna ukweli. Kwa nini uvae nguo iliyovaliwa na mwingine? Mungu alituumba na kutubariki, aliyebarikiwa hawezi kuvaa makombo. Alihubiri sana, kwa bahati mbaya sikushika andiko na nilikuwa nje.... sikuwa ndani hivyo sikumpata vizuri. Na limekuwa linikisumbua ndio maana nimeleta uzi huu kwa atakayeweza atufafanulie zaidi Mchumiapesa, MO11, Root, King Nsr
 
Last edited by a moderator:
Ka na hvo Watanzania more than 98% wamelaanika mana ndo nguo cheap na affordable kwa walio wengi.
 
Hawa wahubiri mnawawezesha kuishi maisha ya kihafari kwa sadaka zenu, halafu wana-set standards za kuwa-mock. Ain't that a trick?!
 
kwani hiyo quality haipatikani dukani!?

Dukani zapatikana tena nzuri kuliko hizo zilizo valiwa tayari sema watanzania hela ngumu.....
Wengine wanaoma bora wavae hizo za China za bei nafuui
 
Ukitafakari sana, hasa kwa wale wa kiroho unaweza kuona kuna ukweli. Kwa nini uvae nguo iliyovaliwa na mwingine? Mungu alituumba na kutubariki, aliyebarikiwa hawezi kuvaa makombo. Alihubiri sana, kwa bahati mbaya sikushika andiko na nilikuwa nje.... sikuwa ndani hivyo sikumpata vizuri. Na limekuwa linikisumbua ndio maana nimeleta uzi huu kwa atakayeweza atufafanulie zaidi Mchumiapesa, MO11, Root, King Nsr
Mi sipendelei nguo za mitumba ila pesa ndo kimeo.
Na hii siyo maada ya kuongelewa kwenye maeneo ya imani.
Sioni imani na mitumba zinaendanaje.
Na Biblia ni kitabu kama vitabu vingine. Tofauti yake ni umaarufu tu.
 
Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.
Duuuh
 
Back
Top Bottom