majoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,595
- 4,775
Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.