Nimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.
Ila nilkweli habari ya kuvaa nguo za watu tena za ndani... Siyo jambo jema.. Ila hili halifai kuwa jambo linalosemwa katika nyumba za ibada. Inaonesha ni jinsi gani wahubiri wenu walivyokosa Maneno.
Quality yake ndio yasababisha mtu anunue mtumba
kwani hiyo quality haipatikani dukani!?
Mi sipendelei nguo za mitumba ila pesa ndo kimeo.Ukitafakari sana, hasa kwa wale wa kiroho unaweza kuona kuna ukweli. Kwa nini uvae nguo iliyovaliwa na mwingine? Mungu alituumba na kutubariki, aliyebarikiwa hawezi kuvaa makombo. Alihubiri sana, kwa bahati mbaya sikushika andiko na nilikuwa nje.... sikuwa ndani hivyo sikumpata vizuri. Na limekuwa linikisumbua ndio maana nimeleta uzi huu kwa atakayeweza atufafanulie zaidi Mchumiapesa, MO11, Root, King Nsr
DuuuhNimesikia eti kuvaa mitumba ni laana. Huyo mhubiri amesisitiza watu wasivae nguo zilizokwishavaliwa na watu wengine, utalaanika kwa kuvaa mtumba maana maandiko yanasema hivyo. usivae hata nguo ya mpenzi wako iliyokwishavaliwa. Binafsi bado najiuliza maswali mengi, wewe unasemaje juu ya hili.