Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Hivi wanaume nao wavae ili wavutie, au wanawake tu?

Mwanaume avae night dress????
Pajama au boxers.....ila boxer zaidi kama ana mwili wa kuonyesha inavutia sana!
 
Mwanaume haitaji kuvaa night dress....!! ni bukta au boxer basi!

Kumbe za wadada tu... woi woi woi. Nilitaka nielekee dukani! Ningechekwaje?
 
acha tubalance basi, na wanaume inabidi wavae mapajama sio wanawakabili wenza wao na midubwana inaning'inia kama mezani ilokufa spiringi. usiku lazima ukuwe romantik bana.

I'm still down....hata kucheka nimeshindwa!!!
Ila kwa mwanaume boxers tu inatosha...pajama za watoto au wale wasiotaka kugawana joto!
 
Hahahahahahahah lol
kuna topic kama hii tuli
Kutananayo nadhani december2010
we na Uporoto na Hashaycool
hayo maswali mmmhhh balaa

Ndo maana
nimeweka ngao
Mbele trip hii
hahahahahahahah lol
huyo hapo red ni member wa JF au?
 
Mwanaume avae night dress????
Pajama au boxers.....ila boxer zaidi kama ana mwili wa kuonyesha inavutia sana!
Sijaelewa mama...
 
Mi nikishasaini mkataba wa kulala kitanda kimoja na jinsia ya kike.

Iwe mkataba wa muda au wa kudumu

Nguo za aina yoyote muiitayo, isikanyage kwenye kitanda changu/cha gesti/cha hotelini.......Mi kazi yangu inakuwa ni kutumbukiza pale napohitaji.......nguo awavalie wengine, mi nahitaji ngozi yake bana.
 
Kulala na nguo ni ushamba
(Jinsi, mashati, sijui sketi)

Lakinia
kwa upande wa wanawake
Tuna night dress ambozo ukivaa
ni kivutio kwa mwanaume..

..
Mimi naona
kulala na nguo za usiku
ni chaguo la mtu ..
usema ukweli saa nyingine is not
About impressing someone but feel comfortable..

Mi nadhani kwangu hata akivaa jeans yaani kwangu atakuwa attractive tu na kibano must tena kila cku kama naye yuko ready
 
Mi nikishasaini mkataba wa kulala kitanda kimoja na jinsia ya kike.

Iwe mkataba wa muda au wa kudumu

Nguo za aina yoyote muiitayo, isikanyage kwenye kitanda changu/cha gesti/cha hotelini.......Mi kazi yangu inakuwa ni kutumbukiza pale napohitaji.......nguo awavalie wengine, mi nahitaji ngozi yake bana.

Hivi bado kuna wababu wanapelekana na wabibi gesti???
 
Hivi bado kuna wababu wanapelekana na wabibi gesti???

Inategemea zali limekuangukia ukiwa wapi.....kama ni Loliondo kwa babu huko, hoteli utaipatia wapi nawe una kiu ya kufa na mwanamke?
 
Huyo ameshapanda cheo, siyo member tena, ni Senior Expert Member.............yaani ana aleji na MMU, mkono mtupu haulambwi.
fellow tablet huyo jamaa habari zisizo rasmi zinasema walimdaka border la zimbabwe anauza zahabu feki, sasa sjui kama ataluudi tena JF
 
Inategemea zali limekuangukia ukiwa wapi.....kama ni Loliondo kwa babu huko, hoteli utaipatia wapi nawe una kiu ya kufa na mwanamke?

Loliondo hakuna zali babu. Kule ni genye free zone...
 
Inategemea zali limekuangukia ukiwa wapi.....kama ni Loliondo kwa babu huko, hoteli utaipatia wapi nawe una kiu ya kufa na mwanamke?

Yani ukipata ngoma hapo hata babu hawezi kutibu!
 
Mi nadhani kwangu hata akivaa jeans yaani kwangu atakuwa attractive tu na kibano must tena kila cku kama naye yuko ready
Hahahahahahahah lol
kwa hiyo hata atinge
Gunia haina shida daahh..
kwa kweli....
 
Back
Top Bottom