Asijekuwa anaokota shanga akidhani dhahabu.......watamcheka kina Lizzy na AD.fellow tablet huyo jamaa habari zisizo rasmi zinasema walimdaka border la zimbabwe anauza zahabu feki, sasa sjui kama ataluudi tena JF
Hili angalizo...kwa hiyo unapiga kavu, unawahi kikombe fasta!Loliondo hakuna zali babu. Kule ni genye free zone...
Babu anatibu magonjwa yote, ikiwemo ngoma....you have been notified!Yani ukipata ngoma hapo hata babu hawezi kutibu!
Invizibo mwenyewe kaanzisha JF halaf yeye anakesha fesibuk. huoni hata ban zimepungua.Ameenda
kuongea na Invisible
kuhusu MMU..
lakini bado anamtafuta..
Tumpe miezi 2 zaidi
kama hajampata tumwambie
arudi tuu lol
Hahahahahahahah lol
kwa hiyo hata atinge
Gunia haina shida daahh..
kwa kweli....
Inategemea zali limekuangukia ukiwa wapi.....kama ni Loliondo kwa babu huko, hoteli utaipatia wapi nawe una kiu ya kufa na mwanamke?
Invizibo mwenyewe kaanzisha JF halaf yeye anakesha fesibuk. huoni hata ban zimepungua.
Hivi wanaume nao wavae ili wavutie, au wanawake tu?
Heee, Afrodenz vipi, mbona hiyo signature yako imenishtua, tukumbushane bac kidogo au vipi?
Babu umeua mazima,
Subiri ofa yangu ya Valluuu!!!
halaf samtaimu kule fesbuk anajisahau anaweka sheria za JF, wee tembelea profile yake uone. (nikipigwa ban naomba unianzishie sredi)Hahahah
nikimwona invi
nabinyeza report baton
hawezi kutu kana kama
Yuda eskirioti lol..
:help:halaf samtaimu kule fesbuk anajisahau anaweka sheria za JF, wee tembelea profile yake uone. (nikipigwa ban naomba unianzishie sredi)
halaf samtaimu kule fesbuk anajisahau anaweka sheria za JF, wee tembelea profile yake uone. (nikipigwa ban naomba unianzishie sredi)
Mbona unapenda kuandika style hii ya "kipiramidi"? some times nakua sielewi unachoandika!Hahahah
tutakunywa
wote kikombe hichi
Cha hukumu usijali
thread utapata ..
tutamwomba invi arudi
Huku ili watu wasichafue hiyo thread..
Au Dena anatosha hahahahahahahah lol
Mi naona kama sio vizuri kwa wanandoa au wapenzi kulala kitanda kimoja huku mmevaa night dresses. Sijui mi mshamba!!!!!!!! Hebu kwa wenye maoni tofauti watoe ili labda nifikirie upya...
Mbona unapenda kuandika style hii ya "kipiramidi"? some times nakua sielewi unachoandika!
aaamen!Hahahah
tutakunywa
wote kikombe hichi
Cha hukumu usijali
thread utapata ..
tutamwomba invi arudi
Huku ili watu wasichafue hiyo thread..
Au Dena anatosha hahahahahahahah lol