Kuvaa night dress

Kuvaa night dress

Paul mathew

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
275
Reaction score
60
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?
 
Haileti tija mheshimiwa,unajua unapova mangunguo hasa wakati wa kulala hisia unazipeleka mbali sana,ila sijui wadau wengine watalionaje hilo ila kwangu mimi aaaaaaah!nikisogeza mkono hii hapa,sio mpaka tuanze kufungua vifingo/zip za m-jeanz,hii wapi na wapi ndugu yangu.
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

jeans kulalia khaaaa nite dress tena bila kufuli
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Heeee........hii mpya, kumbe jinzi nayo ni naiti dresi.:hail:
 
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Nakumbuka wakati tunasoma, zile shule za design ya Asheri, kulikuwa na uvamizi na uchomaji moto shule. So tulikuwa tunalala na jeans kama defense mechanism, kuwa inacase tukavamiwa iwe kazi kwa mbakaji kupata access ya vile vitu mama zetu walitupa. Isije ikawa lengo la huyo mwana ndoa linafanana na lililokuwa letu!LOL
 
heee Nani kasema jeans ni night dress ..hapo kuna walakini unyumba wa kupimia
 
Suala la kulala na nguo ni mazoea,kuna baadhi ya akina dada hasa waliosoma boarding school wamezoea kuvaa nguo wakati wa kulala hivyo akiolewa pole pole atabadilika kwa mafundisho na ushauri yakiambatana na mahaba.YOte kwa yote wanandoa hawatakiwi kulala na nguo,ukichunguza sana ukiona mkeo au mumeo anavaa nguo usiku na si kawaida yake ujue kuna matatizo ndani ya ndoa yenu,inabidi uanze kuchunguza.
 
Huyo alofanya hivyo nadhani alikusudia hataki kuigawa,hata anaetoka shamba anajua mume humvalii suruali,wanaume wenyewe wasikuizi unamvalia kanga moja na hakai nyumbani seuze uvalie suruali kwanza mpaka hapo tofauti ya yeye
na wewe kwenye mavazi iko wapi?
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

ni kawaida tena kwa wale wanaoishi mikoa ya baridi..
 
Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Nakumbuka wakati tunasoma, zile shule za design ya Asheri, kulikuwa na uvamizi na uchomaji moto shule. So tulikuwa tunalala na jeans kama defense mechanism, kuwa inacase tukavamiwa iwe kazi kwa mbakaji kupata access ya vile vitu mama zetu walitupa. Isije ikawa lengo la huyo mwana ndoa linafanana na lililokuwa letu!LOL

Duh, haya bana!
 
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?[/QUOT

Si sahihi lakini nahisi wewe utakuwa unamsumbua sana usiku ima wewe kwa kuwa na uwezo mkubwa sana nawakati yeye hawezi kudo daily, kwahiyo hiyo ndiyo njia pekee ya kidiplomasia kitandani kwake aliyoiona. maana akilala iviivi atajikuta anashughulikiwa. nakushauri kama kweli hicho ndio kisingizio chake basi wewe mnunulie night dress zile nyepesi nyepesi ili uone kama ataendelea kuvaa jinzi
 
Suala la kulala na nguo ni mazoea,kuna baadhi ya akina dada hasa waliosoma boarding school wamezoea kuvaa nguo wakati wa kulala hivyo akiolewa pole pole atabadilika kwa mafundisho na ushauri yakiambatana na mahaba.YOte kwa yote wanandoa hawatakiwi kulala na nguo,ukichunguza sana ukiona mkeo au mumeo anavaa nguo usiku na si kawaida yake ujue kuna matatizo ndani ya ndoa yenu,inabidi uanze kuchunguza.

AZIMIO mi nilidhani suala la kulala bila nguo ni mojawapo ya mambo wanayofundishwa huko kitchen part, hivyo siyo la kubadilika pole pole!
 
Jeans tena lol!!! inaelekea huwa unacheza rafu siku zote ndo mana anakuogopa hivyo, mi nikumbatie tu ndo utakuwa kivazi changu aise.
 
Ama mimi nafikiri lipo jambo hapo na ndio maana kijana kashindwa kuconvince mdada na kubaki kuja kulalamika hapa.
Kijana biga suti unapolala ili ajuwe kuwa wewe uko juu yake!
 
Back
Top Bottom