gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:
hao hawaniumiz kichwa hata kidogo. by the way mzima lakni this asbh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:
Mie mzima kabisa.... naelekea baharini kuvua samaki. Nikupitishie nikirudi? Haya nijalie hali ya wakwe zangu. Hali yako utaniambia kwenye jukwaa la wakubwa kule...:A S 100:hao hawaniumiz kichwa hata kidogo. by the way mzima lakni this asbh?
Mie mzima kabisa.... naelekea baharini kuvua samaki. Nikupitishie nikirudi? Haya nijalie hali ya wakwe zangu. Hali yako utaniambia kwenye jukwaa la wakubwa kule...:A S 100:
Hehehe babu asprin hii ni kubwa kuliko! wanatongoza mpaka avatar!!??? mmhhh hao wanatisha, wapo juu kama avatar yangu(kilimanjaro mountain). sasa avatar ya leroy utaitongozaje mtu jamani??Shauri yako inbox ya PM yako ikijaa mitongozo. Kuna midume huku inatongoza mpaka avatar.:sick:
kulala na nguo jeans naona si sawa ila kwa night dress nyepesi ni sawa maana usiku kuna mengi unaweza situkia wezi wanaingia huwezi kuanza kutafuta nguo kikubwa nikutafuta njia ya kupambana au kujinusuru/msaada ili uepukane na dhoruba itakayokuwa inafanywa na wezi