Paul mathew
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 275
- 60
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?

Ndoa ni chama cha walala uchii, niliisikia hii salon.
Nakumbuka wakati tunasoma, zile shule za design ya Asheri, kulikuwa na uvamizi na uchomaji moto shule. So tulikuwa tunalala na jeans kama defense mechanism, kuwa inacase tukavamiwa iwe kazi kwa mbakaji kupata access ya vile vitu mama zetu walitupa. Isije ikawa lengo la huyo mwana ndoa linafanana na lililokuwa letu!LOL
siamini kama kuna mwanandoa analala na jeans....
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa madai ni night dress? Je inaleta tija kwa mwanaume?[/QUOT
Si sahihi lakini nahisi wewe utakuwa unamsumbua sana usiku ima wewe kwa kuwa na uwezo mkubwa sana nawakati yeye hawezi kudo daily, kwahiyo hiyo ndiyo njia pekee ya kidiplomasia kitandani kwake aliyoiona. maana akilala iviivi atajikuta anashughulikiwa. nakushauri kama kweli hicho ndio kisingizio chake basi wewe mnunulie night dress zile nyepesi nyepesi ili uone kama ataendelea kuvaa jinzi
Suala la kulala na nguo ni mazoea,kuna baadhi ya akina dada hasa waliosoma boarding school wamezoea kuvaa nguo wakati wa kulala hivyo akiolewa pole pole atabadilika kwa mafundisho na ushauri yakiambatana na mahaba.YOte kwa yote wanandoa hawatakiwi kulala na nguo,ukichunguza sana ukiona mkeo au mumeo anavaa nguo usiku na si kawaida yake ujue kuna matatizo ndani ya ndoa yenu,inabidi uanze kuchunguza.