HIZI HA
Hizi hapa mkuu,mwili wake akivaa nguo ndefu unatoa majipu.
Mifupa imemkakamaa mpaka kunakoIla kazuri
Utamtamani basi mtu mwenyewe alivyo kabla ya make-up utaona ni afadhari ya jini. Ashukuru make-up zinam'beba kama hana utamkimbia.nataka pic yake kabla hajajua kununua maji
video zake zote yeye ni full vichupi aiseeMsanii wa muziki wa bongo fleva ambaye anafanya
poa katika anga za kimataifa Vanesa mdee,
amefunguka sababu ya yeye kupenda kuvaa nguo za
nusu utupu.
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live
kinachorushwa na East Africa Radio na EATV,
Vanessa Mdee amesema anapenda kuvaa mavazi
hayo ambayo hayakubaliki kwa jamii, kwa sababu
anatangaza brand yake, na hatimaye impe dili la
matangazo kwa wabunifu wa mavazi.
“Ukweli ni huu, wasanii for a long time in the past,
wasanii wa kitanzania hawajajua na kutambua brand
yao, mi brand yangu mi nataka ndani ya miaka miwili
napigiwa simu na Balmain, na Louis Vuitton, nataka
designers wakubwa wa dunia wanitumie kutangaza
bidhaa yao kwa sababu wanaamini nina brand yangu
kubwa na zinaendana, so nna malengo , na if im
gonna offend anybody im sorry”, alisema Vanessa
Mdee.
Vanessa Mdee ambaye kwa sasa ameachia video
yake mpya ya Niroge, amesema ana mipango ya
kufika na kutambulika dunia nzima katika kazi zake za
muziki, kama alivyochora ramani ya dunia kwenye
mkono wake.
Naenda umasaini kwa wahzabeWewe ulitembea lini njiani ukiwa mtupu!
Kwanza tabia ya kutembea uchi umeitoa wapi wakati babako ni mchungaji!
Dalali yeye mwenyewe we ingia istagram yake uchukue mawasiliano yake.Nashukuru sana mkuu ni kazuri sana sipendagi bongo flavor ndio maana sikajui.sasa tunafanyaje mkuu nasikia hawa bongo flavor na bongo muvi huwa wanauza kisiri ila mpaka uwaone madalari wao
tatizo kwa yemi unaona ndani kwa shida mpaka uchungungulie kupitia mpasuo, si kama ka v-pesa unaona moja kwa moja!mbona Yemi Alade anavaa nguo ndefu lkn zina mpasuo mpaka kwenye mapaja kuna tofauti gani na anayevaa vimini?
Ngoja nilifanyie kazi mkuu nashukuru wengi hawajui nyama ya mifupa inakuwaga tamu kuliko stekiDalali yeye mwenyewe we ingia istagram yake uchukue mawasiliano yake.
Acheni maneno ya kejeli bana... Sa Vanessa ana ubaya gani!?!? Anenepe anaenda mnadani!? Mvuto anao... Nguo fupi ajaanza yy...Japo ngozi imem'bana ila kanafaa kwa matumizi ya binaadam!