Kuvaa nusu utupu natangaza brand - Vanessa Mdee

mbona Yemi Alade anavaa nguo ndefu lkn zina mpasuo mpaka kwenye mapaja kuna tofauti gani na anayevaa vimini?
Nilitaka kuuliza Yemi gani anavaa mavazi ya heshima? Kama kuna mtu mmoja alisema kwanini wasanii wabongo wana skendo kibao while wa Nigeria hawana? Ilibidi nimuulize unajua nini kuhusu wasanii wa nigeria?
 
Anatangaza brand au anatangaza uchi wake??? Brand my asss
 
Biashara ni matangazo
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza
Tafuta pesa, pesa haikutafuti wewe.......

Muacheni bidada anapambana na hali yake!!! Bila kuvaa nusu utupu hawezi kujenga brand yake na ndio rizki yake anapatia huko
 
Vanessa was very attractive wakali ule akiwa hana mapepe

Siku hizi kawa mbaya na yale manywele ya kununua, shepu ngumu kama kibajaji na hana kabisa any mvuto... She should get back thr basics

To be honest... She looks worse day after day... Amekua anaonekana kama changudoa
 
kavenessa nilikwa sikakubali ila nilikuwa nakaheshimu sababu kalikuwa classic. ila kalivyotoa niroge nimekadharau mazima.
 
Hv kwan huyu vee ña flaviana wanatofauti gani? Wote wamekauka tu, Ila mbona Flavy hamumsemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…