Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Hakuna cha Brand wala Whisky kicheche tu.Ukuwa uchi ni kutangaza brand? Unaweza kuvaa vizur na ukajitangaza tuu km kina YemiAlade
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha Brand wala Whisky kicheche tu.Ukuwa uchi ni kutangaza brand? Unaweza kuvaa vizur na ukajitangaza tuu km kina YemiAlade
Nilitaka kuuliza Yemi gani anavaa mavazi ya heshima? Kama kuna mtu mmoja alisema kwanini wasanii wabongo wana skendo kibao while wa Nigeria hawana? Ilibidi nimuulize unajua nini kuhusu wasanii wa nigeria?mbona Yemi Alade anavaa nguo ndefu lkn zina mpasuo mpaka kwenye mapaja kuna tofauti gani na anayevaa vimini?
Kama kick zenyewe ndo kukaa uchi, atafanikiwa kama Gigy MahelaHakuna cha Brand wala Whisky kicheche tu.
Huyo amekulia ushuani, kakulia marekani sio wewe uliyekulia nanjilinjinataka pic yake kabla hajajua kununua maji
Unaweza kuuza kiwanja kwa sababu ya huyu mtoto huwa namwelewa Sana na kazi zake sema umri tu umenitupa..HIZI HA
Hizi hapa mkuu,mwili wake akivaa nguo ndefu unatoa majipu.
![]()
![]()
![]()
Bado saaana haushtui mtima, amenyondea saaana, mpaka namuonea huruma kumpa shughuliUnaweza kuuza kiwanja kwa sababu ya huyu mtoto huwa namwelewa Sana na kazi zake sema umri tu umenitupa..
Mhh kila mtu anavutiwa na mtu Wa type yake.Mpumbavu, anatangaza nini? Ile mifupa yake au maana ukweli ni kwamba Mungu kamnyima zigo na mwili wa mvuto kwa ujumla!
Kweli ndugu yaani sebule hakuna moja kwa moja chumbani.tatizo kwa yemi unaona ndani kwa shida mpaka uchungungulie kupitia mpasuo, si kama ka v-pesa unaona moja kwa moja!
Kana sura nzur na umbo kenyewe.Ila kazuri