Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

Mtoa mada unaonekana kuwa mshamba to the maximum possible level!!
 
Napenda kuvaa saa mpaka kuna wakati natamani hata nilale nayo....its part of being smart...im very confident when im wearing watch...nikiikosa naweza hata nikarudi home kama ni mbali nakosa amani mpaka najikuta naenda kununua mpya
 
Mwanaume muungwana , mwenye kujali muda.. smart .. mara nyingi anakuwa na saa mkononi..

Mi napenda sana kuvaa saa.. na sio sharobaro
Nakubaliana nawewe mkuu saa ni moja wapo ya ishara kwa mwanaume kuwa yuko smart ,siwez toka bira kuvaa saa tabia hii nimeanza toka nikiwa mdgo had saiz
 
Mwanaume utakosaje kuvaa saa mtoa mada ni mshamba asiyejua thaman ya saa alafu pia saa inavaliwa mkono wa kushoto sio wakulia,Mimi ni addicted na saa ya kampuni ya g shock
 
Saa ni moja kati ya vitu ukivaa vinapandisha status ya mtu,,
Na unachokisema ni sawa na kusema ukivaa shati au suruali yenye mifuko wallet ni ya kazi gani mfukoni?
Kwahyo mkuu unamaanisha!!
Ukiwa na Simu hata gazeti hununuwi?
Ukiwa na Simu hata radio husikilizi?
Ukiwa na Simu hata torch huwezi kumiliki kwako?
Ukiwa na Simu hata TV huangalii?
Ukiwa na Simu hata music system hununuwi?
Sababu vyote hivyo ukiwa na Simu unavipata kwenye simu..kwahyo huna haja ya kununuwa vitu hivyo?na kuwa navyo?
You are so wrong mkuu..
Bado upo na fikra ya zama za mawe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…