That's true bro!Na ukitafuta moja kati ya vitu ambavyo watu wa mkono wa kushoto dunia imetutenga navyo ni moja na hiyo, sehemu ya setting imewekwa kwa ajili ya kulia tu.
Ikiwepo na vitu kama PC mouse, pairs of scissors, ule mkono wa flying pan umewekwa mkono wa kulia na si shoto.
Dunia bado haiko fair kwa mashoto wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uongo, kuna baadhi ya saa zipo zilizotengenezwa maalum kwa watu wanaopendelea kuvaa mkono wa kulia japo ni chache sana.Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna
Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhThe reason people generally wear their watches in left hand is because, wrist watches are generally worn in the non-dominant hand so that they do not hinder when some work is to be done.
Sent using Jamii Forums mobile app