King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yes mashoto kama OBAMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes mashoto kama OBAMA.
Fools leave things happen in its nature. They don't need to ask and disturb their living status.Fools are full of confidence and geniuses are full of doubt. That is the problem with this world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushamba ni nini? Puttiin anavaa mkono wa kuume. Wewe na puttin rais wa Russia Jasusi bora duniani unamwita mshamba? Kaishi ujerumani miaka 15. Mmh.mi navaa kushoto sijui kwanini ila kuvaa kulia ushamba
Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna
Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu. Napaona pagumu kuliko kule mbali.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huku kwetu au kule mbali?
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenu. Napaona pagumu kuliko kule mbali.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu.Hapa umetupotosha mkuu...ninazo saa aina 3 za kuvalia mkono wa kulia.
Ikibidi nitakuwekea picha hapa
Mtu maarufu? Hujui kama ni maarufu.Toka utotoni hadi sasa navaa saa mkono wa kulia. Ila sijui sababu na ukiniambia nivae mkono wa kushoto siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukitafuta moja kati ya vitu ambavyo watu wa mkono wa kushoto dunia imetutenga navyo ni moja na hiyo, sehemu ya setting imewekwa kwa ajili ya kulia tu.Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna
Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani ni mazoea tu,mi pia navaa mkono wa kulia
Mile tangu naanza kuvaa saa mkono wa kulia ukiniuliza sababu sijui
Mi navaa mkono w kulia kwa sababu ndo uko shapu kugeuka kuliko wa kushoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie navaa mkono wa kulia.
Toka utotoni hadi sasa navaa saa mkono wa kulia. Ila sijui sababu na ukiniambia nivae mkono wa kushoto siwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naungana nanyi nami toka mtoto navaa SAA kulia ,cjui kwann km wengine wasemavyonavaa kulia kwasababu natumia left kuandika, kama nikivaa saa mkono wa kushoto inanisumbua kwenye kuandika