Kuvaa saa mkono wa kulia

Kuvaa saa mkono wa kulia

Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna

Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hapa umetupotosha mkuu...ninazo saa aina 3 za kuvalia mkono wa kulia.
Ikibidi nitakuwekea picha hapa
 
Wrist watch is designed to wear on the left wrist but sometime its unique to wear on the right wrist. There is no any other definition if you see any one wear it on the right wrist, its just a unique.
All human are created equally but some of them are unique.

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Saa inatakiwa kuvaliwa mkono wa kushoto, hakuna hata saa moja iliyotengenezwa kwa design ya kuvaliwa mkono wa kulia hakuna

Ile sehemu ya kurekebisha saa kitu kama cha kuzungusha hivi kinakuwa upande wa kulia, hiyo ni ishara kwamba hiyo saa ni kuvaliwa mkono wa kushoto full stop, hakuna saa iliyo kinyume na hiyo design.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukitafuta moja kati ya vitu ambavyo watu wa mkono wa kushoto dunia imetutenga navyo ni moja na hiyo, sehemu ya setting imewekwa kwa ajili ya kulia tu.

Ikiwepo na vitu kama PC mouse, pairs of scissors, ule mkono wa flying pan umewekwa mkono wa kulia na si shoto.

Dunia bado haiko fair kwa mashoto wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani ni mazoea tu,mi pia navaa mkono wa kulia
Mile tangu naanza kuvaa saa mkono wa kulia ukiniuliza sababu sijui
Mi navaa mkono w kulia kwa sababu ndo uko shapu kugeuka kuliko wa kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie navaa mkono wa kulia.
Toka utotoni hadi sasa navaa saa mkono wa kulia. Ila sijui sababu na ukiniambia nivae mkono wa kushoto siwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
navaa kulia kwasababu natumia left kuandika, kama nikivaa saa mkono wa kushoto inanisumbua kwenye kuandika
Naungana nanyi nami toka mtoto navaa SAA kulia ,cjui kwann km wengine wasemavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio saa tuu,hata pete navaa mkono wa kulia,tena kidole chochote nikipendacho.Maswala ya eti hiki kidole ni kwa ajili ya pete ya ndoa,sijui nini,sielewagi kabisaaaaa
 
The reason people generally wear their watches in left hand is because, wrist watches are generally worn in the non-dominant hand so that they do not hinder when some work is to be done.

The celebrities who are left handed would most probably wear the watches in their left hand.

But even this is not necessary that only those who are left handed wear wrist watches in the right hand.

Anyways these are some pictures of celebrities wearing watches in right hand.

[https://qph]

[https://qph]

[https://qph]

[https://qph]

[https://qph]




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom