Kuna wengine ni asili yao kupasuka miguuKupasuka miguu ni kutokuijali, naonaga inatia aibu
mmmmh sidhaniKuna wengine ni asili yao kupasuka miguu
KWELI..Kuna uhuru wa kuvaa unachotaka lakini hiki la kuvaa sandals wakati muguu imepasuka tena mipasuko ya kuchana shuka nalo ni neno.
Kupasuka kwa miguu si uginjwa bali ni kutokuijali ngozi ya miguu. Ngozi hii ineumbwa ngumu kuhimili mikiki ya kutembea na jua kali pia kufanya kazi.
Ngozi ya miguu ikiwa imepasuka sana vaa viatu vya kuziba kama raba hasa za cotton kama canverse zinafaa kwa joto hili. Jioni ukiwa unaoga sugua ngozi kwa kitu kugumu kuondoka dead skin baada ya hapo paka mafuta hasa Vaseline kabla ya kulala.
Ni kweli kabisa mkuu lakini siku hizi kuna vijiwe vinauzwa hata Kariakoo vipo vya kusugukua muguu.Wengi wetu tunaoga tu ila kusafisha miguu hatuna muda huo. Hiyo dead skin ni lazima isuguliwe ili itoke na kuacha new skin ambayo ni laini. Zamani kwenye nyumba nyingi nje palikuwa na jiwe la kusugulia miguu especially karibu na bomba la maji la nje.
Hakuna cha asili,Kuna wengine ni asili yao kupasuka miguu