Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kuna uhuru wa kuvaa unachotaka lakini hiki la kuvaa sandals wakati muguu imepasuka tena mipasuko ya kuchana shuka nalo ni neno.
Kupasuka kwa miguu si uginjwa bali ni kutokuijali ngozi ya miguu. Ngozi hii ineumbwa ngumu kuhimili mikiki ya kutembea na jua kali pia kufanya kazi.
Ngozi ya miguu ikiwa imepasuka sana vaa viatu vya kuziba kama raba hasa za cotton kama canverse zinafaa kwa joto hili. Jioni ukiwa unaoga sugua ngozi kwa kitu kugumu kuondoka dead skin baada ya hapo paka mafuta hasa Vaseline kabla ya kulala.