Kuvimba kwa miguu n maumivu pia

Kuvimba kwa miguu n maumivu pia

Double square

Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
58
Reaction score
16
Habar docta nin rafiki yangu ni mama kijacho anaumwa miguu San na kuvimba pia tatizo n nn na ameambiwa aende Hosp akapime kipimo cha doplo aghakni mguu 1 laki 3 je n tatizo kubwa n nn madhara pia
 
Inawezekana ikawa ni deep venous thrombosis....kipimo ni dopler ultrasound. ...
Huo ugonjwa ni kunakua na damu imeganda ndani ya mshipa (vein ) ambapo dalili ndio unakuta mtu kavimba mguu mmoja alafu uvimbe ukibonyeza unakua na maumivu....
Inatibika
 
Back
Top Bottom