Kuvimba mirija ya korodani ya korodani la upande moja

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Naomba kujua kuwa nini kinachosababisha kuvimba kwa mrija wa korodani na ni madhara gani yanayotokea mara baada ya kuvimba?
 
Hiyo zinaweza kuwa ni dalili za prostate cancer au kanza ya kibofu cha mkojo kwa wanaume.Nenda hospital wakupime vizuri. Usicheleweshe itakuletea matatizo makubwa zaidi
 
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom