Wapenz wanajf nimekuwa na tatzo la kuvimba vipunye kichwani yaani ukivitumbua vinatoa usaha!
Jambo la kujiuliza tangu nimehamia huku ndo vinaonekana kuwa tatizo hasa na wakati mwingne vinapelekea mwili kuchemka.
Naomba ushauri na pengne hata tiba ni npo serious na hili.
nawasilisha.