Kuvimba vipunye kichwani huu ni ugonjwa gani?

Kuvimba vipunye kichwani huu ni ugonjwa gani?

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Wapenz wanajf nimekuwa na tatzo la kuvimba vipunye kichwani yaani ukivitumbua vinatoa usaha!

Jambo la kujiuliza tangu nimehamia huku ndo vinaonekana kuwa tatizo hasa na wakati mwingne vinapelekea mwili kuchemka.

Naomba ushauri na pengne hata tiba ni npo serious na hili.

nawasilisha.
 
Mapunye huwa yanavimba na kujaa usaha?

Ndo mara ya kwanza kulisikia hilo.
 
Ni ugonjwa wa kushangaza, maana ndugu alishaupata akapona sasa secretary wangu umempata nae.
 
Tumia (kunywa)Co-amoxiclav for oral suspension utapona. 10ml asubuhi na jioni if you're above 18. Unaweza kupaka pia potassium permanganate solution two times daily baada ya kuoga
 
Inaitwa folliculitis...inflamation of the hair follice...jaribu kutumia broad spectrum antibiotics...
 
Back
Top Bottom