Kuvujisha hizi clip Manara ametumwa na GSM?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba.

Unajua kabisa unafanya kazi na Simba na interest kubwa ilitakiwa iwe kwa Simba na wadhamini wake wakubwa,lakini nashangaa unatangaza Bidhaa za mdhamini wa mpinzani wa Simba.

Siku Yanga na Azam wanaingia mkataba wa yale mabilioni niliona una post logo ya Yanga na Azam "tuna jambo letu"kitu ambacho huwezi kamwe kumuona msemaji wa yanga akikifanya.

Sie wapenzi wa Simba wakati mwingine unatudhalilisha kwa maneno yako yasiyo na staha na bila kutafakari.

Nathubutu kusema kuwa hufai kuwa Simba na unapaswa kuondoka haraka
 
Labda hujaelewa mzee, Haji S Manara hizo voice note mbili za mwanzo zilizotoka jana usiku alimtumia Barbra Gonzalez kwahiyo kuna uwezekano huyo CEO ndo kaziachia kwa ajili ya kuendelea kumkandamiza Manara
Ukisikiliza hizo clip yeye mwenyewe manara alisema atazituma kwa viongozi wengine
Tayari zakaria keshampasha
 
Manara ni mpumbavu na snitch tu.Kwanini hakuvumilia azitume baada ya derby?

Huyu Manara ameamua kuihujumu Simba.CEO hawezi kuvujisha ujinga kama huu wakati huu.

Manara achukuliwe hatua kali ikibidi afukuzwe kazi pale Simba.
Labda hujaelewa mzee, Haji S Manara hizo voice note mbili za mwanzo zilizotoka jana usiku alimtumia Barbra Gonzalez kwahiyo kuna uwezekano huyo CEO ndo kaziachia kwa ajili ya kuendelea kumkandamiza Manara
 
Manara anafanya utani
Screenshot_20210722-195300.jpg
 
Labda hujaelewa mzee, Haji S Manara hizo voice note mbili za mwanzo zilizotoka jana usiku alimtumia Barbra Gonzalez kwahiyo kuna uwezekano huyo CEO ndo kaziachia kwa ajili ya kuendelea kumkandamiza Manara
Sikiliza audio ya mwanzo manara mwenyewe alisema nitaisambaza kila mtu ajue

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba.

Unajua kabisa unafanya kazi na Simba na interest kubwa ilitakiwa iwe kwa Simba na wadhamini wake wakubwa,lakini nashangaa unatangaza Bidhaa za mdhamini wa mpinzani wa Simba!
Siku Yanga na Azam wanaingia mkataba wa yale mabilioni niliona una post logo ya Yanga na Azam "tuna jambo letu"kitu ambacho huwezi kamwe kumuona msemaji wa yanga akikifanya.

Sie wapenzi wa Simba wakati mwingine unatudhalilisha kwa maneno yako yasiyo na staha na bila kutafakari.

Nathubutu kusema kuwa hufai kuwa Simba na unapaswa kuondoka haraka
Kuna siku iliwahi kuletwa hoja hyo hapa jukwaani.

Hata mm nilipinga kwa manara kutngaza bidhaa za timu pinzani.
Likaibuka kundi la watu wafia timu manara na kuanza kunishambulia.

Mwishowe manara kaangukia pua..
 
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba.

Unajua kabisa unafanya kazi na Simba na interest kubwa ilitakiwa iwe kwa Simba na wadhamini wake wakubwa,lakini nashangaa unatangaza Bidhaa za mdhamini wa mpinzani wa Simba.

Siku Yanga na Azam wanaingia mkataba wa yale mabilioni niliona una post logo ya Yanga na Azam "tuna jambo letu"kitu ambacho huwezi kamwe kumuona msemaji wa yanga akikifanya.

Sie wapenzi wa Simba wakati mwingine unatudhalilisha kwa maneno yako yasiyo na staha na bila kutafakari.

Nathubutu kusema kuwa hufai kuwa Simba na unapaswa kuondoka haraka
Huyu ni kibaraka wa yanga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Labda hujaelewa mzee, Haji S Manara hizo voice note mbili za mwanzo zilizotoka jana usiku alimtumia Barbra Gonzalez kwahiyo kuna uwezekano huyo CEO ndo kaziachia kwa ajili ya kuendelea kumkandamiza Manara

Mbona alisema atazisambaza kwenye magroup ila mashabiki na viongozi wa simba wajue
 
Sema simba kuna tatizo tukiachana manara na yule mjumbe wa body simba kuna matatizo
 
Timing suggests conspiracy. Si amini Manara kafanya haya yeye mwenyewe. Kuna invisible hand wa GSM.
 
Back
Top Bottom