kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Huyu jamaa nimeanza kuwa na mashaka naye sana.Kwa nini sasa?Huu ni uhuni na usaliti mkubwa kwa timu.Watu hukosewa na kuondoka kimya kimya lakini wewe Haji umevumiliwa sana hapo Simba.
Unajua kabisa unafanya kazi na Simba na interest kubwa ilitakiwa iwe kwa Simba na wadhamini wake wakubwa,lakini nashangaa unatangaza Bidhaa za mdhamini wa mpinzani wa Simba.
Siku Yanga na Azam wanaingia mkataba wa yale mabilioni niliona una post logo ya Yanga na Azam "tuna jambo letu"kitu ambacho huwezi kamwe kumuona msemaji wa yanga akikifanya.
Sie wapenzi wa Simba wakati mwingine unatudhalilisha kwa maneno yako yasiyo na staha na bila kutafakari.
Nathubutu kusema kuwa hufai kuwa Simba na unapaswa kuondoka haraka