Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
Nipo katika mazingira ya kupata hela kila siku ili mradi natoka kufanya kazi zangu za kila siku, kipato changu kwa siku hakipungui 30000 ikiwa na maana hapo nishakula na mahitaji yangu ya lazima ya siku kama vocha/soft drinks/ nk.
Ila kuweka akiba imekuwa ni shida sana kwani naweza kujibana wiki mzima au week mbili Ila unashangaa nimebet hela imeishia huko.
Au nimeenda kutumia kwa mambo mengine mengi ya kufurahisha nafsi kwa muda mfupi baadae naanza kujishangaaa, kila nikifikisha laki tisa kwenye akiba yangu lazima nipate mshimshike either wa kumkopa ndugu/rafiki asirudishe; kizinga kutoka kwa mwanamke wangu na mambo mengine mengi, yaani nilipanga mwaka huu akiba kila mwezi isipungue 800,000.
Ila kupata hiyo kwa mwezi naweza Ila shida ni kuweka Akiba ndo inanisumbua kwani lazima nijisikia kutumia tu,
Nyie mnaoweza kuweka Akiba mnafanyaje?