Manifestation
Senior Member
- Jan 22, 2020
- 193
- 323
- Thread starter
- #21
Hii ni Kwa wale WA mshahara Sisi tunao ingiza kila siku ni shida sanaFungus standing order. CRDB wanafanya. Unaweka hela kwa account then mnakubaliana kila tarehe ngapi wanachukua kiasi mlichokubaliana na kukutunzia kwenye hiyo subaccount.
Sent using Jamii Forums mobile app