EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Salamu waheshimiwa.
Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021
Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki tatu yaani badala ya tarehe 26/4/2021 nikaenda tarehe 13/5/2021 kwa ajili ya dozi ya pili INAWEZA KUWA NA TATIZO LOLOTE HAPO. Msaada madaktari.