EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Ahsante nduguMkuu hutakiwi kuzidisha siku 7
Cha kufanya tafuta hosp yeyote ulipo uchome hio sindano kabla hawajakuanzishia upya kwa kuhalibu dozi
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwakweli Mungu tu ndo mwenye majibuNa je, sindano ya kwanza inaweza kumkinga aliyechomwa kuwa asipate maambukizi ndani ya kipindi anachosubiria dozi ya pili na ya tatu? Mpango ni kumaliza, ila kabla sijamaliza nikakutana na mpenzi wangu, ambaye ni negative, tukakiss na kusex, je nitamuambukiza?
Jibu:Salamu waheshimiwa.
Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021
Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki tatu yaani badala ya tarehe 26/4/2021 nikaenda tarehe 13/5/2021 kwa ajili ya dozi ya pili INAWEZA KUWA NA TATIZO LOLOTE HAPO. Msaada madaktari.