Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Hii thread ilikuwa imekaa kimtego sana kama ile iliyoanzishagwa na FisadiKuu au RRONDO kuhusu ngabu way back 2017 lkn nothing is going on here until now na Jambo jema ni kuwa hakuna ugomvi mkubwa ulotekea mpaka sasa.
Nimegundua kuna watu wanakuja na ID feki zao waanzishe ugomvi ili mradi basi tu hawana jipya. .
 
Sijawahi kuwa na ID nyingine zaidi ya hii, kuna ban ilipita ya kama masaa 3 hivi hata sijjui ilikuwaje [emoji23]
Kumbe na wewe Ban ushakula Mkuu......,,,, Ngoja na mimi siku nijaribu kutukana nione Ban inataste vip....

Tokea nimeijua jf sijawahi kabisa kula ban, Id zangu mara nyingi huwa naamua kuzipotezea tuu ili kutozoeleka sana na kingine sio mtu wa kucomment sana zaidi napenda zaidi kusoma tuuu....., yaani naingia kwenye uzi kama nikiupenda naacha comment moja napita zangu hivi baadae nakuja kuusoma ukipoa nau-unsubscribe maisha mengine yanaendelea.....

Mfano ule uzi wako wa snap na Jf nilikuwa naupenda zamani sema baada ya watu kuanza kuleta story nyingi nikaachana nao maisha yakaendelea.... Mfano unaingia kwenye uzi unakuta watu wamegeuza kijiwe wanapiga umbea na kuchambana huwa napita mbali hata mazoea nao sitakii
 
humu ukiona mtu anakutukana sijui anakuzingua kila post just click IGNORE yani mbona simple sanaaa... kuna jamaa alikuwa anahubiri kwenye uzi pendwa watu wakawa wanajibishana nae ila baadae wakamuignore so anashangaa watu hawamjibu tena kumbe anapost ila anaona mwenyewe
 
Ngoja niifanyie kaz hii kuna watu nimewaandika pembeniπŸ˜€
 
Alitoka chini ya bahari yule mtu na alokuwa anaangalia discovery channel ni nani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ™„ Wewe dawa yako inachemka, nitaanzisha vurumai nisepe mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo mtu alikuw anaangalia documentary ya wanyama mbugani serenget🀣🀣🀣
Hhahahha inaonekana episode ya 16 hukusoma?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…