Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
- Thread starter
- #521
Nimegundua kuna watu wanakuja na ID feki zao waanzishe ugomvi ili mradi basi tu hawana jipya. .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimegundua kuna watu wanakuja na ID feki zao waanzishe ugomvi ili mradi basi tu hawana jipya. .
😂😂😂 Utafanya niingize hii verse kwenye storyShatani kaa mbali usiweze kuniharibia kwaresma yangu na leo hii ni ijumaa kuu Nakukemea katika Jina la Yesu. .
Nimepewa mamlaka ya kukulaani na kuyafunga maisha yako. Chunga sana. .
Kaka nimejistukia comment yako mbona kama inanihusu 😂😂😂😂.Nimegundua kuna watu wanakuja na ID feki zao waanzishe ugomvi ili mradi basi tu hawana jipya. .
Kumbe na wewe Ban ushakula Mkuu......,,,, Ngoja na mimi siku nijaribu kutukana nione Ban inataste vip....Sijawahi kuwa na ID nyingine zaidi ya hii, kuna ban ilipita ya kama masaa 3 hivi hata sijjui ilikuwaje [emoji23]
Walivyonipa ban wakasepa na thread zoteAah acha masikhara umefutwa kwa sababu gan?
Alitoka chini ya bahari yule mtu na alokuwa anaangalia discovery channel ni nani?😂😂😂😂Sikujua kama umefungwa ule uzi na bado nilikuw namsubiri askofu Gily🤣
Ngoja niifanyie kaz hii kuna watu nimewaandika pembeni😀humu ukiona mtu anakutukana sijui anakuzingua kila post just click IGNORE yani mbona simple sanaaa... kuna jamaa alikuwa anahubiri kwenye uzi pendwa watu wakawa wanajibishana nae ila baadae wakamuignore so anashangaa watu hawamjibu tena kumbe anapost ila anaona mwenyewe
Tupe huo uzi tukachukue ban huko🏃🏃Kuna uzi toka jana naukwepa najua nikiingia huo ban lazima hao uzi huo umewaponza
I mean no malice to nobody, mi nimetania tu mkuu.Mkuu unawashwa au una kipere unataka kutumbuliwa
Dah kweli nimepitwa ngoja nifungue account mpya kesho. Naweka picha ID ya dada mzuri san nasajili na line kabisa mwaka huu lazima nijenge[emoji2]
🙄 Wewe dawa yako inachemka, nitaanzisha vurumai nisepe mimi 😂😂😂😂Alitoka chini ya bahari yule mtu na alokuwa anaangalia discovery channel ni nani?😂😂😂😂
Hhahahha inaonekana episode ya 16 hukusoma?Huyo mtu alikuw anaangalia documentary ya wanyama mbugani serenget🤣🤣🤣