Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Utakuwa kijukuu maana katika hizo situation ndio ban zangu nyingi hupatikana.Kuna dogo aliniparamia jana hadi nikakasirika but nikapotezea, muda mchache nikaona wamemchoma sasa yuko kuzimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa kijukuu maana katika hizo situation ndio ban zangu nyingi hupatikana.Kuna dogo aliniparamia jana hadi nikakasirika but nikapotezea, muda mchache nikaona wamemchoma sasa yuko kuzimu
Kula chuma hicho 🤣🤣🤣Picha la kutisha 😁
Kula chuma hichoView attachment 2579021
Account yangu 1 imepigwa ban jan 26 inaachiwa apr 30 hapo sasa nisemeje picha hii hapaHamnaga ban ya miezi 7 wazee ikizidi ni two weeks. Im experienced ban addict
Hamna namna lazma utafte maisha mengine. Jf kwangu ni kama bia na nyama. Huwa vinaenda pamoja alltimeAccount yangu 1 imepigwa ban jan 26 inaachiwa apr 30 hapo sasa nisemeje picha hii hapa
Kabisa jf kutamu sana 😁😁😁😁😁😁😁Hamna namna lazma utafte maisha mengine. Jf kwangu ni kama bia na nyama. Huwa vinaenda pamoja alltime
Situmii mtandao wowote ukiacha whatsapp tena kwa ishu muhimu ila my all time entertainment stays in here!Kabisa jf kutamu sana 😁😁😁😁😁😁😁
Kwani huyu Genta bado hajapigwa ban ya maisha?
Amna sahizi niko busy sana naonekana mida ya asubuhi na jioni tu humu. 😀😀😀 Ya mchana mengi huwa yananipitagaTwo weeks ago niliona kama una ban mzee🤣
Af nikakosa kula nikapauka hapa mjini 😂Basi ongeza ila ukikutana na waliokuzidi usikimbie show 😅
......uzi gani huo nisije jichanganya.....Kuna uzi toka jana naukwepa najua nikiingia huo ban lazima hao uzi huo umewaponza
😅 kuna mafuta utajipakaAf nikakosa kula nikapauka hapa mjini 😂
Parachute?😅 kuna mafuta utajipaka
Huyu mtangazaji mbingu ataisikia tu redioni, sio kwa unafiki huo
Ameleta itikadi za kutetea Upinde bora wamemzima 🤣Nasikia mpwayungu bye bye hawez rudishw tena Kala life ban
Jamaa snitch sana yani, hiko chuma gani sasa au upumbavu tu, af anamalizia huyu ana kitu atafika mbali 😀😀😀