Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Mada zinazogusa maisha ya mtu personal nje ya utani huwa zinaleta ugomvi wa maneno, matusi, kuabishana, beef zisizoisha na kulamba ban hii ni kawaida kwa dada zetu.

Wanaume tusifike huko tuanze kuchambana kama wadada haipendezi
Sema ukiangalia hizi beef za dada zetu zinachangiwa na vitu vidogo sana
 
Hali za kushindwa kuvumilia mawazo na fikra za wengine humu ndani ndizo husababisha hasira na kupelekea kushambuliana, haitupasi kuwa hivyo.

Humu ndani hatufanani na haiwezekani kamwe kufanana na kama wote humu tungefanana kifikra na kimawazo basi hapa pangekuwa sehemu mbaya sana kuwepo

Tofauti zetu ndio uzuri wa hili jukwaa, TUJIFUNZE UVUMILIVU
Fact 💯💯
 
Tulicheka pamoja story ya kuzama baharini akakuta ntu anaangalia Dstv kipindi cha discovery kumbe ndio mwenye story namcheka nae anamcheka anajicheka mbona hukunistua
Sikupendi Gilly tena
Aliyeleta story anaitwa Ubobo huyu mjinga binadam mtakatifu ana ID kama zote. Ila bado hajaendeleza akileta muendelezo nakuita wa kwanza.
Anadai anaumwa mgongo na kiuno🤣🤣
 
Jf ni wewe unavyoitaka ikutreat, mi napenda kushinda kwenye story kule ni burudani
Hii umeisema kiwepesi sana lakini context yake ni nzito mno, Jf itakuwa kama jinsi ambavyo yeye mhusika anataka iwe kwa upande wake.

Chochote kile ambacho mtu anavuna hapa Jf kiwe postive au negative, mara nyingi yeye (mhusika) ndio huwa amekiandalia mazingira either kwa kujua au kwa kutokujua outcomes zake.

Mambo hayaoti tu kama mchicha pori.
 
Aliyeleta story anaitwa Ubobo huyu mjinga binadam mtakatifu ana ID kama zote. Ila bado hajaendeleza akileta muendelezo nakuita wa kwanza.
Anadai anaumwa mgongo na kiuno🤣🤣
Mkuu wamefuta uzi we hujaona labda nianze mwingine nipost upya

Alafu Dejane mapenzi yenu yasisababishe kuumwaga mchele hapa kuku wengi 😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom