Kirahisi tu hivyo?Kama unaamini hutaenda kwingine utamwambia lakutokea unakaza roho tu unabaki na wakwako au unabaki kuwa mwaminifu sawa
Hakunaga tamaduni za kiafrika nyingi tunatengeneza tu kwakuwa dini zimesema ni dhambi, kwani mwanamke kumwambia mwanaume una hamu pia haitakiwi katika tamaduni au ni mwanamke hasemi anaogopaKwani tamaduni za kiafrika zinatakaje?
Kwa hiyo utakuwa naye na huku unavizia ikitokea chansi unasepa etiKirahisi tu hivyo?
Anaitwa kakaaKaka yupi tena huyooooooo funguka basi
ahaha id yake mtaje kwa id yake ndio atakusikiaAnaitwa kakaa
Hakunaga tamaduni za kiafrika nyingi tunatengeneza tu kwakuwa dini zimesema ni dhambi, kwani mwanamke kumwambia mwanaume una hamu pia haitakiwi katika tamaduni au ni mwanamke hasemi anaogopa
afadhali watu wabaki na tamaduni tu hata hivyo zingine zinaachwa maana zina ukoloni na zinawanyima wengine fursa ya kusonga mbele, kula asali kwa wakati na kufurahia maishaWameiga dini? Hivi kati ya dini na tamaduni za kiafrika kipi kina afadhali?
Kwa hiyo utakuwa naye na huku unavizia ikitokea chansi unasepa eti
Hapana nimesema sitamtamkia mwanaume anioe nitasubiri anitamkie yeye mwenyewe na anatakiwa anitamkie akiwa ananitongoza yaani kabla sijamkubalia na asiponitamkia kuwa atanioa basi namkatalia akaendelee kutongoza wengine
afadhali watu wabaki na tamaduni tu hata hivyo zingine zinaachwa maana zina ukoloni na zinawanyima wengine fursa ya kusonga mbele, kula asali kwa wakati na kufurahia maisha
Ingetegemea na umri wangu na utayari wangu na ndiyo ningemsainishaHaya akikutamkia utamsainisha maana umeshaijua sheria, itakuchukua muda gani ili umruhusu akuweke ndani
Hapana mimi naona dini ndiyo ziko sahihi na siyo tamaduni hasa za kiafrika maana ni za kishenzi sana yaani na mimi niko radhi nifuate dini kuliko tamaduni zetu hizi
sijui kama yupo jfahaha id yake mtaje kwa id yake ndio atakusikia
sijui kama yupo jf
Haya ukienda kwa mwanaume dini inakwambia yakikushinda omba talaka urudi nyumbani, mzazi anakwambia mwanangu msaidiane vumilia usitoke huko ndio kwako labda kama umefanyiwa kitu kibaya sana ila vumilia tu sasa kipi na kipi
Wanafanyiwa wanaume wengi wanavumilia sana tu ila isiwe ya kutoka njeHivi na huyo mwanaume naye mimi nikimfanyia visa atanivumilia na hataniacha?
Wanafanyiwa wanaume wengi wanavumilia sana tu ila isiwe ya kutoka nje
ameuchunabaada ya yeye kuahidi mwezi wa 7 imekuwaje
Mimi niko hapa muoaji, nifungulie moyo nikuchumbie kuleta mahari na kukuoa mrembo wa kipekee.Ndiyo nasema sasa huyo mwanamke asingepate mwingine huyo mwanaume angemuoa? Waoaji wenyewe wako wapi siku hizi?
Hivi unafikiri kila unachokiona au unacho kutana nacho kwenye ndoa unaweza ukakiamulia papo hapo au inahitaji muda kidogo ili kupata ukweli na ushahidiOohh kwahiyo na mimi nimvumilie yote ila siyo ya kutoka nje?