Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa: Sheria inasemaje?

Kwani tamaduni za kiafrika zinatakaje?
Hakunaga tamaduni za kiafrika nyingi tunatengeneza tu kwakuwa dini zimesema ni dhambi, kwani mwanamke kumwambia mwanaume una hamu pia haitakiwi katika tamaduni au ni mwanamke hasemi anaogopa
 
Wameiga dini? Hivi kati ya dini na tamaduni za kiafrika kipi kina afadhali?

afadhali watu wabaki na tamaduni tu hata hivyo zingine zinaachwa maana zina ukoloni na zinawanyima wengine fursa ya kusonga mbele, kula asali kwa wakati na kufurahia maisha
 
Hapana nimesema sitamtamkia mwanaume anioe nitasubiri anitamkie yeye mwenyewe na anatakiwa anitamkie akiwa ananitongoza yaani kabla sijamkubalia na asiponitamkia kuwa atanioa basi namkatalia akaendelee kutongoza wengine
Kwa hiyo utakuwa naye na huku unavizia ikitokea chansi unasepa eti
 
Haya akikutamkia utamsainisha maana umeshaijua sheria, itakuchukua muda gani ili umruhusu akuweke ndani
Hapana nimesema sitamtamkia mwanaume anioe nitasubiri anitamkie yeye mwenyewe na anatakiwa anitamkie akiwa ananitongoza yaani kabla sijamkubalia na asiponitamkia kuwa atanioa basi namkatalia akaendelee kutongoza wengine
 
Hapana mimi naona dini ndiyo ziko sahihi na siyo tamaduni hasa za kiafrika maana ni za kishenzi sana yaani na mimi niko radhi nifuate dini kuliko tamaduni zetu hizi
afadhali watu wabaki na tamaduni tu hata hivyo zingine zinaachwa maana zina ukoloni na zinawanyima wengine fursa ya kusonga mbele, kula asali kwa wakati na kufurahia maisha
 
Haya akikutamkia utamsainisha maana umeshaijua sheria, itakuchukua muda gani ili umruhusu akuweke ndani
Ingetegemea na umri wangu na utayari wangu na ndiyo ningemsainisha
 
Haya ukienda kwa mwanaume dini inakwambia yakikushinda omba talaka urudi nyumbani, mzazi anakwambia mwanangu msaidiane vumilia usitoke huko ndio kwako labda kama umefanyiwa kitu kibaya sana ila vumilia tu sasa kipi na kipi
Hapana mimi naona dini ndiyo ziko sahihi na siyo tamaduni hasa za kiafrika maana ni za kishenzi sana yaani na mimi niko radhi nifuate dini kuliko tamaduni zetu hizi
 
Hivi na huyo mwanaume naye mimi nikimfanyia visa atanivumilia na hataniacha?
Haya ukienda kwa mwanaume dini inakwambia yakikushinda omba talaka urudi nyumbani, mzazi anakwambia mwanangu msaidiane vumilia usitoke huko ndio kwako labda kama umefanyiwa kitu kibaya sana ila vumilia tu sasa kipi na kipi
 
Oohh kwahiyo na mimi nimvumilie yote ila siyo ya kutoka nje?
Hivi unafikiri kila unachokiona au unacho kutana nacho kwenye ndoa unaweza ukakiamulia papo hapo au inahitaji muda kidogo ili kupata ukweli na ushahidi
 
Back
Top Bottom