Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa: Sheria inasemaje?

Nimeongelea kwa maswala ya kufunguliana mashitaka ila naona unaleta kauli zako za mfumo dume
Usinichekeshe. Hivi unafikiri ni nani ana presha ya kuingia kwenye ndoa kati ya MUOAJI na MUOLEWAJI? Siku hizi hatutafuti, tunachagua tu kati ya wanaojitegesha 😀😀😀
 
Sasa kama ni viruka njia huwa mnawatongoza wa nini in the first place?
 
Oohh sawa ila hoja ni kwamba wote wanaume na wanawake wanatakiwa kuvumiliana katika ndoa isipokuwa kwa maswala ya usaliti si ndiyo?
Hekima lazima itumike na busara pia unaweza ukaamua ikawa tofauti
 
Hujasoma comments zilizoandikwa huko juu na hata wengine kuhusu Evidence ya ahadi, au unataka nikuandikie yakwako peke yako
Unaelewa kwamba evidence ya wizi si definition ya wizi?

Inawezekana kabisa kwamba ukikuta gari limevunjwa kioo, hiyo ni evidence ya wizi, lakini inawezekana pia ikawa mtu kavunja kioo gari lake mwenyewe kwa sababu kafungia funguo ndani ya gari.

Sasa hapo utasema kwamba huyo mtu kaiba kwenye gari lake mwenyewe kwa sababu kuna evidence ya wizi, na aliyevunja kioo ni yeye?

Unaelewa kwamba definition ya wizi hapo inabidi ieleweke kabla ya kuangalia evidence, na kwamba, ukianza kuzungumzia evidence ya wizi bila ku define wizi ni nini, unaweza kutaka kumfunga mtu aliyevunja kioo cha gari lake mwenyewe, kwa kusema kuna evidence ya wizi, kwa sababu huja define wizi ni nini?

Ukielezea evidence ya ahadi, bila kuongelea ahadi ni nini kwa kui define, unakuwa bado hujawa clear hiyo evidence ya ahadi ni evidence ya kitu gani?

Unaweza ku define ahadi ya kuoa ni kitu gani? Kisha, baada ya ku define, ndiyo uende kwenye evidence?

Unaelewa kwamba mazungumzo yoyote yanayoanza bila definition yanajiweka katika uwezekano wa kukwamma, kwa sababu ni mazungumzo ya vitu ambavyo havijawa defined?

Unawezaje kutoa evidence ya ahadi bila ku define ahadi?
 
Kina dada siku hizi mwanaume akikwambia anataka akuoe na ukimuona anafaa mpe karatasi akuandikie muandikishiane kuwa kwa hiari amekubali atanioa ili akikataa au akibadili mawazo unafungua kesi kupiti hiyo karatasi ya makubaliano mtakuwa mmebambana
Kinyume na hapo utahakikishiaje mahakama kuwa alikuahidi kukuoa?? Usitoe pichu yako bila maandishi sahihi kuwa; Nitakuoa. Hata hako kazawadi ka usiku mmoja tu aonje kama huna maandishi hawezi kukurudishia
 
Hujasoma comments zilizoandikwa huko juu na hata wengine kuhusu Evidence ya ahadi, au unataka nikuandikie yakwako peke yako
Nimerudia kusoma kurasa zote 6 za uzi huu mpaka sasa, sijaona sehemu ambapo imetajwa definition ya ahadi ya kuoa/kuolewa.

Kama ipo sijaiona, naomba uinukuu hapa, unipe na post number ilipotolewa.

Kama haipo, mpaka sasa tunajadili kitu ambacho hakijawa defined.
 
This fucking world is so unfair at times, wote wake kwa waume huchezeana na kupotezeana muda.
Mwanaume anaweza kumpotezea muda msichana huku akimuahidi ahadi za uongo lakini dhamira serious haipo hata mabinti wapo ambao hudanganya na kufikia hata kufadhiliwa mambo makubwa kama kugharamiwa masomo au michongo ya overseas huko mioyoni mwao wanajua fika hawana nia ya dhati kwa kuwa wale wanaowataka huwa hawana uwezo wa kuwasaidia hivyo hutumia wanaume wenye kuweza kuwasaidia kama madaraja tu.
Kwahiyo na huyo mwanaume naye anaenda kufungua mashitaka wakati moyoni mwake anajua kabisa hakuwa na mpango wa kumuoa huyo mwanamke haoni hata haya sasa alitaka mwanamke afanyaje?
 
Hivi mwanamke anawezaje kumchezea mwanaume? Na mwanaume naye anasimama kabisa mbele za watu anasema kachezewa na mwanamke?

Kwenye jamii hii hii ya kibongo ambayo mwanamke aliyetembea na wanaume wengi anaonekana malaya huku mwanaume aliyetembea na wanawake wengi anaonekana kidume au unazungumzia jamii ipi? Haiwezekani!
 
Try to think beyond your fixed framework, hii hii jamii kuna wanaume wameingia mikenge kwa ahadi za kutapeliwa(nina mifano ya dhahiri mingi kwenye hili) na mpaka wengine kuyumba kiuchumi kwa ahadi hewa za kukubalika mipango ya kuoana na giliba nyingine nyingi tu za mapenzi ya kilaghai.
Wanaume ukichunguza ndiyo wanaongoza kuonekama mazoba katika mahusiano hence those humiliating codes like buzi,danga, sponsor and the likes are so damn common.
 
Walahi apa watafanikiwa wachache ambao wako serious na wanacho kifanya na shule kidogo inasaidia...i call them ..women of principles..
mambo ya kisheria yanaenda na Clear Documentations na Ushahidi wa kutosha kabisa na uwezo wa mtu kujieleza mbele ya mahama au kutafuta mwakilishi atakae fanya vile inatakiwa....sasa njoo uku kwa kina Mwajuma ndala ndefu..Aisha mpododo na Kulusumu haya mambo mmmh....
 
Haya
 
Reactions: Qwy
Bila ya kumsahau Mwajabu toto kunyakunya.
 
Ofcourse nimekupata mkuu logic yako..kwa kauelewa kadogo niliko nako kwenye somo la Law....ukizungumzia definition ya Ahadi ya ndoa hii ilitakiwa iwekwe clear ikistipulate maana halisi na maswala ya conditions wakati wa makubaliana mfano both parties lazima wawe wana akili timamu ikijumuisha physical and mental fitness...isitokee mmoja wapo au wote wamelewa....Wote wawe wameamua kwa nia na utayari wao na isiwe shinikizo from external forces like parents,friends etc....na mambo mengine kama haya yalitakiwa yawe kwenye definition ya Ahadi ya ndoa tusichukulie poa and this is where most of people make a biggest mistake mtu anaelewa na kufanya mambo kwa mazoea....
 
Sasa kama ninyi ndiyo mnawagonga halafu mnasepa kwanini mnawalaumu na mnawaita viruka njia?

Na je mwanaume ambaye naye anagonga na kusepa ndiyo yuko sahihi na hana makosa?
Sister, wanawake wote mkisema hamtoi, hakuna mwanaume atazini. Ama mkisema sikupi hadi unioe...mi ntapata wapi?Tatizo mko cheap sana....so tunaendelea kuwaita viruka njia.
 
Hapana. Kuna watu wanavishana pete kabla hawajaenda kwa wazazi? Imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…