Hujasoma comments zilizoandikwa huko juu na hata wengine kuhusu Evidence ya ahadi, au unataka nikuandikie yakwako peke yako
Unaelewa kwamba evidence ya wizi si definition ya wizi?
Inawezekana kabisa kwamba ukikuta gari limevunjwa kioo, hiyo ni evidence ya wizi, lakini inawezekana pia ikawa mtu kavunja kioo gari lake mwenyewe kwa sababu kafungia funguo ndani ya gari.
Sasa hapo utasema kwamba huyo mtu kaiba kwenye gari lake mwenyewe kwa sababu kuna evidence ya wizi, na aliyevunja kioo ni yeye?
Unaelewa kwamba definition ya wizi hapo inabidi ieleweke kabla ya kuangalia evidence, na kwamba, ukianza kuzungumzia evidence ya wizi bila ku define wizi ni nini, unaweza kutaka kumfunga mtu aliyevunja kioo cha gari lake mwenyewe, kwa kusema kuna evidence ya wizi, kwa sababu huja define wizi ni nini?
Ukielezea evidence ya ahadi, bila kuongelea ahadi ni nini kwa kui define, unakuwa bado hujawa clear hiyo evidence ya ahadi ni evidence ya kitu gani?
Unaweza ku define ahadi ya kuoa ni kitu gani? Kisha, baada ya ku define, ndiyo uende kwenye evidence?
Unaelewa kwamba mazungumzo yoyote yanayoanza bila definition yanajiweka katika uwezekano wa kukwamma, kwa sababu ni mazungumzo ya vitu ambavyo havijawa defined?
Unawezaje kutoa evidence ya ahadi bila ku define ahadi?